1 Timotheo 2:14 - Swahili Revised Union Version14 Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Na wala si Adamu aliyedanganywa; bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Na wala si Adamu aliyedanganywa; bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Na wala si Adamu aliyedanganywa; bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa. Tazama sura |