1 Samueli 7:15 - Swahili Revised Union Version Naye huyo Samweli akawaamua Waisraeli siku zote za maisha yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Samueli alikuwa mwamuzi wa Israeli maisha yake yote. Biblia Habari Njema - BHND Samueli alikuwa mwamuzi wa Israeli maisha yake yote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Samueli alikuwa mwamuzi wa Israeli maisha yake yote. Neno: Bibilia Takatifu Samweli akaendelea kuwa mwamuzi wa Israeli siku zote za maisha yake. Neno: Maandiko Matakatifu Samweli akaendelea kama mwamuzi juu ya Israeli siku zote za maisha yake. BIBLIA KISWAHILI Naye huyo Samweli akawaamua Waisraeli siku zote za maisha yake. |
Kisha Samweli akawaambia Israeli wote, Angalieni, nimeisikiliza sauti yenu katika hayo yote mliyoniambia, nami nimemtawaza mfalme juu yenu.
BWANA akawatuma Yerubaali, na Baraka, na Yeftha, na Samweli, akawaokoa ninyi kutoka kwa mikono ya adui zenu pande zote, nanyi mkakaa salama.
Akafa Samweli; nao Israeli wote wakakusanyika, wakamwomboleza, wakamzika nyumbani mwake huko Rama. Kisha Daudi akaondoka, akashuka mpaka nyikani mwa Maoni.
Naye huenda mwaka kwa mwaka kuzunguka mpaka Betheli, na Gilgali, na Mispa; akawaamua katika miji yote ya Israeli.
Wakakusanyika huko Mispa, wakateka maji na kuyamimina mbele za BWANA; wakafunga siku ile, wakasema huko, Tumemfanyia BWANA dhambi. Samweli akawaamua wana wa Israeli huko Mispa.