Waamuzi 2:16 - Swahili Revised Union Version16 Kisha BWANA akawainua waamuzi, waliowaokoa mikononi mwa watu hao waliowateka nyara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Ndipo Mwenyezi-Mungu akawapa waamuzi ambao waliwaokoa mikononi mwa watu waliopora mali zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Ndipo Mwenyezi-Mungu akawapa waamuzi ambao waliwaokoa mikononi mwa watu waliopora mali zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Ndipo Mwenyezi-Mungu akawapa waamuzi ambao waliwaokoa mikononi mwa watu waliopora mali zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Ndipo Mwenyezi Mungu akawainua waamuzi, ambao waliwaokoa kutoka mikononi mwa hao wavamizi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Ndipo bwana akawainua waamuzi, ambao waliwaokoa katika mikono ya hao watu waliowashambulia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Kisha BWANA akawainua waamuzi, waliowaokoa mikononi mwa watu hao waliowateka nyara. Tazama sura |