Huyo Yabesi akamlingana Mungu wa Israeli, akisema, Lau kwamba ungenibariki kweli kweli, na kuipanua mipaka yangu, na mkono wako ukawa pamoja nami, nawe ungenilinda nisipatwe na maovu wala madhara! Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.
1 Samueli 1:27 - Swahili Revised Union Version Niliomba nipewe mtoto huyu; BWANA akanipa dua yangu niliyomwomba; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nilimwomba anipe mtoto huyu, na yeye alinipa kile nilichomwomba. Biblia Habari Njema - BHND Nilimwomba anipe mtoto huyu, na yeye alinipa kile nilichomwomba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nilimwomba anipe mtoto huyu, na yeye alinipa kile nilichomwomba. Neno: Bibilia Takatifu Niliomba mtoto huyu, naye Mwenyezi Mungu amenijalia kile nilichomwomba. Neno: Maandiko Matakatifu Niliomba mtoto huyu, naye bwana amenijalia kile nilichomwomba. BIBLIA KISWAHILI Niliomba nipewe mtoto huyu; BWANA akanipa dua yangu niliyomwomba; |
Huyo Yabesi akamlingana Mungu wa Israeli, akisema, Lau kwamba ungenibariki kweli kweli, na kuipanua mipaka yangu, na mkono wako ukawa pamoja nami, nawe ungenilinda nisipatwe na maovu wala madhara! Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.
Na kama tukijua kwamba atusikia, tunapoomba chochote, tunajua kwamba tumetimiziwa zile haja tulizomwomba.
Naye Eli akambariki Elkana na mkewe, akasema, BWANA na akupe uzao kwa mwanamke huyu, wachukue mahali pa yule aliyemtoa kwa BWANA. Kisha wakarudi nyumbani kwao.