Zekaria 5:10 - Swahili Revised Union Version10 Ndipo nikamwambia yule malaika aliyesema nami, Hawa wanaipeleka wapi efa hii? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Basi, nikamwuliza yule malaika aliyezungumza nami, “Wanakipeleka wapi kile kikapu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Basi, nikamwuliza yule malaika aliyezungumza nami, “Wanakipeleka wapi kile kikapu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Basi, nikamwuliza yule malaika aliyezungumza nami, “Wanakipeleka wapi kile kikapu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Nikamuuliza yule malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Wanakipeleka wapi hicho kikapu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Nikamuuliza yule malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Wanakipeleka wapi hicho kikapu?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Ndipo nikamwambia yule malaika aliyesema nami, Hawa wanaipeleka wapi efa hii? Tazama sura |