Zekaria 2:2 - Swahili Revised Union Version2 Ndipo nikasema, Unakwenda wapi? Akaniambia, Ninakwenda kuupima Yerusalemu, nione upana wake ulivyo na urefu wake ulivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Basi, nikamwuliza, “Unakwenda wapi?” Naye akanijibu, “Ninakwenda kuupima urefu na upana wa mji wa Yerusalemu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Basi, nikamwuliza, “Unakwenda wapi?” Naye akanijibu, “Ninakwenda kuupima urefu na upana wa mji wa Yerusalemu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Basi, nikamwuliza, “Unakwenda wapi?” Naye akanijibu, “Ninakwenda kuupima urefu na upana wa mji wa Yerusalemu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Nikamuuliza, “Unaenda wapi?” Akanijibu, “Kupima Yerusalemu, kupata urefu na upana wake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Nikamuuliza, “Unakwenda wapi?” Akanijibu, “Kupima Yerusalemu, kupata urefu na upana wake.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ndipo nikasema, Unakwenda wapi? Akaniambia, Ninakwenda kuupima Yerusalemu, nione upana wake ulivyo na urefu wake ulivyo. Tazama sura |