Zekaria 2:3 - Swahili Revised Union Version3 Na tazama, yule malaika aliyesema nami akasimama karibu, na malaika mwingine akatoka ili kuonana naye; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Yule malaika aliyezungumza nami akawa anamwendea malaika mwingine ambaye alikuwa anamjia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Yule malaika aliyezungumza nami akawa anamwendea malaika mwingine ambaye alikuwa anamjia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Yule malaika aliyezungumza nami akawa anamwendea malaika mwingine ambaye alikuwa anamjia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kisha malaika aliyekuwa akizungumza nami akaondoka, malaika mwingine akaja kukutana naye Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kisha malaika aliyekuwa akizungumza nami akaondoka, malaika mwingine akaja kukutana naye Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Na tazama, yule malaika aliyesema nami akasimama karibu, na malaika mwingine akatoka ili kuonana naye; Tazama sura |