Zekaria 2:1 - Swahili Revised Union Version1 Kisha nikainua macho yangu, nikaona, na tazama, mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Katika maono mengine, nilimwona mtu aliyekuwa na kamba ya kupimia mkononi mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Katika maono mengine, nilimwona mtu aliyekuwa na kamba ya kupimia mkononi mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Katika maono mengine, nilimwona mtu aliyekuwa na kamba ya kupimia mkononi mwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Kisha nikatazama juu: pale mbele yangu palikuwa na mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Kisha nikatazama juu: pale mbele yangu alikuwepo mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Kisha nikainua macho yangu, nikaona, na tazama, mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake. Tazama sura |
Baadaye nikaona katika njozi ya usiku, na tazama, mnyama wa nne, mwenye kutisha, mwenye nguvu, mwenye uwezo mwingi, naye alikuwa na meno ya chuma, makubwa sana; alikula na kuvunja vipande vipande, na kuyakanyaga mabaki kwa miguu yake; na umbo lake lilikuwa mbali kabisa na wale wa kwanza, naye alikuwa na pembe kumi.