Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 9:7 - Swahili Revised Union Version

7 Bali BWANA atakaa milele, Ameweka kiti chake tayari kwa hukumu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Lakini Mwenyezi-Mungu anatawala milele; ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Lakini Mwenyezi-Mungu anatawala milele; ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Lakini Mwenyezi-Mungu anatawala milele; ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Mwenyezi Mungu anatawala milele, ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 bwana anatawala milele, ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 9:7
10 Marejeleo ya Msalaba  

Bali Wewe, BWANA utaketi ukimiliki milele, Na jina lako litakumbukwa na vizazi vyote.


BWANA ameweka kiti chake cha enzi mbinguni, Na ufalme wake unavitawala vitu vyote.


Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako, Fadhili na kweli zimo mbele za uso wako.


Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.


Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele.


Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.


Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo