Zaburi 9:6 - Swahili Revised Union Version6 Adui wameangamia na kuwa magofu milele. Nayo miji yao uliing'oa; Hata kumbukumbu lao limepotea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Maadui wameangamia milele; umeingolea mbali miji yao, kumbukumbu lao limetoweka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Maadui wameangamia milele; umeingolea mbali miji yao, kumbukumbu lao limetoweka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Maadui wameangamia milele; umeing'olea mbali miji yao, kumbukumbu lao limetoweka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Uharibifu usiokoma umempata adui, umeing’oa miji yao; hata kumbukumbu lao limetoweka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Uharibifu usiokoma umempata adui, umeing’oa miji yao; hata kumbukumbu lao limetoweka. Tazama sura |