Zaburi 9:5 - Swahili Revised Union Version5 Umewakemea mataifa; Na kumwangamiza mdhalimu; Umelifuta jina lao milele na milele; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Umeyakemea mataifa, umewaangamiza waovu; majina yao umeyafutilia mbali milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Umeyakemea mataifa, umewaangamiza waovu; majina yao umeyafutilia mbali milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Umeyakemea mataifa, umewaangamiza waovu; majina yao umeyafutilia mbali milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu; umeyafuta majina yao milele na milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu; umeyafuta majina yao milele na milele. Tazama sura |
Naye Daudi aliposikia ya kwamba Nabali amekufa, alisema, Na ahimidiwe BWANA ambaye amenitetea teto la shutumu langu mkononi mwa Nabali, na kumzuia mtumishi wake asitende maovu; tena uovu wake Nabali BWANA amemrudishia juu ya kichwa chake mwenyewe. Kisha Daudi akatuma watu, akamposa Abigaili ili amwoe.