Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 6:1 - Swahili Revised Union Version

1 BWANA, usinikemee kwa hasira yako, Wala usinirudi kwa ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ee Mwenyezi Mungu, usinikemee katika hasira yako, wala usiniadhibu katika ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ee bwana, usinikemee katika hasira yako, wala usiniadhibu katika ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 BWANA, usinikemee kwa hasira yako, Wala usinirudi kwa ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili




Zaburi 6:1
12 Marejeleo ya Msalaba  

na Zekaria, na Yaasieli na Shemiramothi, na Yehieli, na Uni, na Eliabu, na Maaseya, na Benaya, wenye vinanda vya sauti ya Alamothi;


na Metithia, na Elifelehu, na Mikneya, na Obed-edomu, na Yeieli, na Azazia, wenye vinubi vya sauti ya Sheminithi,


BWANA ameniadhibu sana, Lakini hakuniacha nife.


Tuokoe, ee BWANA, maana hamna tena amchaye Mungu Maana waaminifu wametoweka katika wanadamu.


Ndipo atakaposema nao kwa hasira yake, Na kuwafadhaisha kwa ghadhabu yake, akisema:


Ee BWANA, usinilaumu katika ghadhabu yako, Wala usiniadhibu kwa ukali wa hasira yako.


Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo; Uliniokoa nilipokuwa katika shida; Unifadhili na kuisikia sala yangu.


Kwa maana jambo hili limekuwa kama maji ya Nuhu kwangu; maana kama nilivyoapa ya kwamba maji ya Nuhu hayatapita juu ya dunia tena, kadhalika nimeapa ya kwamba sitakuonea hasira, wala kukukemea.


Kwa kuwa sitashindana na watu siku zote, wala sitakuwa na hasira siku zote; maana roho ingezimia mbele zangu, na hizo nafsi nilizozifanya.


Ee BWANA, unirudi kwa haki; si kwa hasira yako, usije ukaniangamiza.


Usiogope wewe, Ee Yakobo, mtumishi wangu, asema BWANA; kwa maana mimi ni pamoja nawe; maana nitawakomesha kabisa mataifa yote huko nilikokufukuza, bali sitakukomesha wewe kabisa; lakini nitakurudi kwa hukumu, wala sitakuacha bila adhabu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo