Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 5:12 - Swahili Revised Union Version

12 Kwa maana Wewe utambariki mwenye haki; BWANA, utamzungushia radhi kama ngao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Maana wewe Mwenyezi-Mungu wawabariki waadilifu; wawakinga kwa fadhili zako kama kwa ngao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Maana wewe Mwenyezi-Mungu wawabariki waadilifu; wawakinga kwa fadhili zako kama kwa ngao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Maana wewe Mwenyezi-Mungu wawabariki waadilifu; wawakinga kwa fadhili zako kama kwa ngao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Kwa hakika, Ee Mwenyezi Mungu, unawabariki wenye haki, unawazunguka kwa wema wako kama ngao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Kwa hakika, Ee bwana, unawabariki wenye haki, unawazunguka kwa wema wako kama ngao.

Tazama sura Nakili




Zaburi 5:12
12 Marejeleo ya Msalaba  

Haleluya. Heri mtu yule amchaye BWANA, Apendezwaye sana na maagizo yake.


Atawabariki wamchao BWANA, Wadogo kwa wakubwa.


Sauti ya furaha na wokovu Imo hemani mwao wenye haki; Mkono wa kulia wa BWANA hutenda makuu.


Unigeukie na kunirehemu, Kama ilivyo desturi yako kwa walipendalo jina lako.


BWANA na awape watu wake nguvu; BWANA na awabariki watu wake kwa amani.


Lakini Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu.


Wokovu ni wa BWANA; Baraka yako na iwe juu ya watu wako.


Naye mtu mwovu ana mapigo mengi, Bali amtumainiaye BWANA fadhili zitamzunguka.


Kimbilio langu utanilinda nisipate mateso, Utanizungusha nyimbo za kufurahia wokovu wangu.


Mwimbieni Mungu, lisifuni jina lake, Mwimbieni wimbo yeye apitaye katika mawingu, Jina lake ni YAHU; Shangilieni mbele zake.


Kwa kuwa BWANA, Mungu, ni jua na ngao, BWANA atatoa neema na utukufu. Hatawanyima kitu chema Hao waendao kwa ukamilifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo