Zaburi 6:2 - Swahili Revised Union Version2 BWANA, unifadhili, maana ninanyauka; BWANA, uniponye, mifupa yangu imefadhaika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Unihurumie, ee Mwenyezi-Mungu, nimeishiwa nguvu; uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nataabika mpaka mifupani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Unihurumie, ee Mwenyezi-Mungu, nimeishiwa nguvu; uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nataabika mpaka mifupani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Unihurumie, ee Mwenyezi-Mungu, nimeishiwa nguvu; uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nataabika mpaka mifupani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Unirehemu Mwenyezi Mungu, kwa maana nimedhoofika; Ee Mwenyezi Mungu, uniponye, kwa maana mifupa yangu ina maumivu makali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Unirehemu bwana, kwa maana nimedhoofika; Ee bwana, uniponye, kwa maana mifupa yangu ina maumivu makali. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 BWANA, unifadhili, maana ninanyauka; BWANA, uniponye, mifupa yangu imefadhaika. Tazama sura |