Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 118:11 - Swahili Revised Union Version

11 Walinizunguka, naam, walinizunguka; Kwa jina la BWANA niliwakatilia mbali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Yalinizunguka kila upande, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu, nikayaangamiza!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Yalinizunguka kila upande, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu, nikayaangamiza!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Yalinizunguka kila upande, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu, nikayaangamiza!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Walinizunguka pande zote, lakini kwa jina la Mwenyezi Mungu naliwakatilia mbali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Walinizunguka pande zote, lakini kwa jina la bwana naliwakatilia mbali.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Walinizunguka, naam, walinizunguka; Kwa jina la BWANA niliwakatilia mbali.

Tazama sura Nakili




Zaburi 118:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Yoabu alipoona ya kwamba wamejipanga kwa vita juu yake mbele na nyuma, akachagua baadhi ya wateule wote wa Israeli, akawapanga juu ya Washami.


Walipiga yowe, lakini hakuna wa kuokoa, Walimwita BWANA lakini hakuwajibu,


Yamenizunguka kama mafuriko mchana kutwa, Yamenisonga kwa kila upande.


Mpenzi na rafiki umewatenga nami, Nao wanijuao wamo gizani.


Sauli akaenda upande huu wa mlima, na Daudi na watu wake wakaenda upande huu wa mlima; naye Daudi akafanya haraka sana ili amtoroke Sauli; kwa sababu Sauli na watu wake walikuwa wakiwazingira Daudi na watu wake ili kuwakamata.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo