Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 118:10 - Swahili Revised Union Version

10 Mataifa yote walinizunguka; Kwa jina la BWANA niliwakatilia mbali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Mataifa yote yalinizingira, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu nikayaangamiza!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Mataifa yote yalinizingira, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu nikayaangamiza!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Mataifa yote yalinizingira, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu nikayaangamiza!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Mataifa yote yalinizunguka, lakini kwa jina la Mwenyezi Mungu naliwakatilia mbali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Mataifa yote yalinizunguka, lakini kwa jina la bwana naliwakatilia mbali.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Mataifa yote walinizunguka; Kwa jina la BWANA niliwakatilia mbali.

Tazama sura Nakili




Zaburi 118:10
12 Marejeleo ya Msalaba  

Naam, adui zangu umewafanya wanipe visogo, Nao walionichukia nimewakatilia mbali.


Walipiga yowe, lakini hakuna wa kuokoa, Walimwita BWANA lakini hakuwajibu,


Yamenizunguka kama mafuriko mchana kutwa, Yamenisonga kwa kila upande.


Mpenzi na rafiki umewatenga nami, Nao wanijuao wamo gizani.


Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea watu wa kabila zote; wote watakaojitwika jiwe hilo watapata majeraha mengi; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake.


Wafalme hao wote wakakutana pamoja; wakaenda na kupanga mahema yao pamoja hapo penye maji ya Meromu, ili kupigana na Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo