Zaburi 101:8 - Swahili Revised Union Version8 Kila asubuhi nitawaangamiza Waovu wote nchini. Nikiwatenga wote watendao uovu Na mji wa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Siku kwa siku nitawaangamiza waovu wote nchini; nitawaangamiza wabaya wote mjini mwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Siku kwa siku nitawaangamiza waovu wote nchini; nitawaangamiza wabaya wote mjini mwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Siku kwa siku nitawaangamiza waovu wote nchini; nitawaangamiza wabaya wote mjini mwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kila asubuhi nitawanyamazisha waovu wote katika nchi; nitamkatilia mbali kila mtenda maovu kutoka mji wa Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kila asubuhi nitawanyamazisha waovu wote katika nchi; nitamkatilia mbali kila mtenda mabaya kutoka mji wa bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Kila asubuhi nitawaangamiza Waovu wote nchini. Nikiwatenga wote watendao uovu Na mji wa BWANA. Tazama sura |