Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yoshua 6:12 - Swahili Revised Union Version

12 Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, nao makuhani wakalichukua sanduku la BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Asubuhi yake Yoshua akaamka alfajiri na mapema, na makuhani wakalibeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Asubuhi yake Yoshua akaamka alfajiri na mapema, na makuhani wakalibeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Asubuhi yake Yoshua akaamka alfajiri na mapema, na makuhani wakalibeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Yoshua akaamka asubuhi na mapema siku iliyofuata, nao makuhani wakalichukua Sanduku la Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Yoshua akaamka mapema asubuhi iliyofuata nao makuhani wakalichukua Sanduku la bwana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, nao makuhani wakalichukua sanduku la BWANA.

Tazama sura Nakili




Yoshua 6:12
11 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akaondoka alfajiri, akatandika punda wake, akachukua vijana wawili pamoja naye, na Isaka mwanawe, akachanja kuni kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa, akaondoka, akaenda mpaka mahali alipoambiwa na Mungu.


ndipo Musa akawaamuru Walawi waliokuwa wakilichukua sanduku la Agano la BWANA akawaambia,


Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, nao wakatoka Shitimu, wakafika katika mto wa Yordani, yeye na wana wa Israeli wote, wakakaa hapo kabla ya kuvuka.


Basi akalipeleka sanduku la BWANA liuzunguke huo mji, likauzunguka mara moja, kisha wakaenda kambini wakakaa humo kambini.


Na wale makuhani saba wakayachukua mabaragumu saba ya pembe za kondoo dume mbele ya sanduku la BWANA, wakaenda huku wakiyapiga mabaragumu; nao watu wenye silaha wakawatangulia, na hao waliokuwa nyuma wakalifuata sanduku la BWANA; huku makuhani wakiyapiga mabaragumu bila kukoma.


Basi wana wa Israeli waliondoka asubuhi, wakapanga hema zao ili kuvamia Gibea.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo