Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 6:11 - Swahili Revised Union Version

11 Basi akalipeleka sanduku la BWANA liuzunguke huo mji, likauzunguka mara moja, kisha wakaenda kambini wakakaa humo kambini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Basi, Yoshua aliwafanya wale watu wauzunguke mji mara moja kila siku wakiwa wamebeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu na kurudi kambini kulala usiku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Basi, Yoshua aliwafanya wale watu wauzunguke mji mara moja kila siku wakiwa wamebeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu na kurudi kambini kulala usiku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Basi, Yoshua aliwafanya wale watu wauzunguke mji mara moja kila siku wakiwa wamebeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu na kurudi kambini kulala usiku.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Basi akalipeleka Sanduku la Mwenyezi Mungu kuzungushwa huo mji, likizungushwa mara moja. Kisha watu wakarudi kambini kulala.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Basi akalipeleka Sanduku la bwana kuzungushwa huo mji, likizungushwa mara moja. Kisha watu wakarudi kambini kulala.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Basi akalipeleka sanduku la BWANA liuzunguke huo mji, likauzunguka mara moja, kisha wakaenda kambini wakakaa humo kambini.

Tazama sura Nakili

Yoshua 6:11
4 Marejeleo ya Msalaba  

Yoshua akawaamuru watu, akasema Msipige kelele, wala sauti zenu zisisikiwe, wala neno lolote lisitoke kinywani mwenu, hadi siku ile nitakapowaamuru kupiga kelele, ndipo mtakapopiga kelele.

Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, nao makuhani wakalichukua sanduku la BWANA.

Siku ya pili wakauzunguka mji mara moja, wakarejea kambini; ndivyo walivyofanya siku sita.

Nanyi mtauzunguka mji huu, wapiganaji wote, mkiuzunguka mji mara moja. Fanya hivi siku sita.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo