Yoshua 22:6 - Swahili Revised Union Version6 Basi Yoshua akawabariki, na kuwapa ruhusa waende zao; nao wakaenda mahemani kwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, Yoshua akawabariki na kuwaruhusu waende zao akawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, Yoshua akawabariki na kuwaruhusu waende zao akawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, Yoshua akawabariki na kuwaruhusu waende zao akawaambia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ndipo Yoshua akawabariki na kuwaaga waende zao, nao wakaenda nyumbani kwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ndipo Yoshua akawabariki na kuwaaga waende zao, nao wakaenda nyumbani mwao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Basi Yoshua akawabariki, na kuwapa ruhusa waende zao; nao wakaenda mahemani kwao. Tazama sura |
Ndipo Daudi akarudi ili awabariki watu wa nyumbani mwake. Na Mikali, binti Sauli, akatoka nje aende kumlaki Daudi, naye akasema, Mfalme wa Israeli alikuwa mtukufu leo namna gani, akijifunua mwili wake mbele ya vijakazi vya watumishi wake, mfano wa watu baradhuli mmojawapo, ajifunuavyo mwili wake mbele ya watu, asipokuwa na haya!