Yoshua 22:19 - Swahili Revised Union Version19 Basi ikiwa hiyo inchi yenu ni najisi, vukeni na kuingia katika nchi ya milki yake BWANA, ambamo maskani ya BWANA inakaa ndani yake, nanyi twaeni milki kati yetu; lakini msimwasi BWANA, wala msituasi sisi, kwa kujijengea madhabahu zaidi ya hiyo madhabahu ya BWANA, Mungu wetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Haya, ikiwa nchi yenu si najisi, njoni katika nchi ya Mwenyezi-Mungu ambako hema yake iko na kujichukulia sehemu huko pamoja nasi; ila tu msimwasi Mwenyezi-Mungu na kutufanya sisi sote waasi kwa kujijengea nyinyi wenyewe madhabahu isiyo ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Haya, ikiwa nchi yenu si najisi, njoni katika nchi ya Mwenyezi-Mungu ambako hema yake iko na kujichukulia sehemu huko pamoja nasi; ila tu msimwasi Mwenyezi-Mungu na kutufanya sisi sote waasi kwa kujijengea nyinyi wenyewe madhabahu isiyo ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Haya, ikiwa nchi yenu si najisi, njoni katika nchi ya Mwenyezi-Mungu ambako hema yake iko na kujichukulia sehemu huko pamoja nasi; ila tu msimwasi Mwenyezi-Mungu na kutufanya sisi sote waasi kwa kujijengea nyinyi wenyewe madhabahu isiyo ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ikiwa nchi mnayomiliki imenajisika, vukeni mje katika nchi ya Mwenyezi Mungu, mahali Maskani ya Mwenyezi Mungu ilipo, nanyi mkajitwalie sehemu miongoni mwetu, lakini msije mkaasi dhidi ya Mwenyezi Mungu wala dhidi yetu sisi kwa kujijengea madhabahu, isipokuwa madhabahu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kama nchi mnayomiliki imenajisika, vukeni mje katika nchi ya bwana, mahali Maskani ya bwana ilipo, nanyi mkajitwalie sehemu miongoni mwetu, lakini msije mkaasi dhidi ya bwana wala dhidi yetu sisi kwa kujijengea madhabahu, zaidi ya madhabahu ya bwana Mwenyezi Mungu wetu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Basi ikiwa hiyo nchi yenu ni najisi, vukeni na kuingia katika nchi ya milki yake BWANA, ambamo maskani ya BWANA inakaa ndani yake, nanyi twaeni milki kati yetu; lakini msimwasi BWANA, wala msituasi sisi, kwa kujijengea madhabahu zaidi ya hiyo madhabahu ya BWANA, Mungu wetu. Tazama sura |