Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 22:17 - Swahili Revised Union Version

17 Je! Ule uovu wa Peori haututoshi, ambao hamjajitakasa nafsi zenu katika huo hata hivi leo, ijapokuwa ilikuja tauni juu ya mkutano wa BWANA,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Je, dhambi tulizotenda huko Peori hazitoshi? Hamwoni kwamba bado hatujajitakasa na kwamba mateso yake bado yanaisumbua jumuiya ya Mwenyezi-Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Je, dhambi tulizotenda huko Peori hazitoshi? Hamwoni kwamba bado hatujajitakasa na kwamba mateso yake bado yanaisumbua jumuiya ya Mwenyezi-Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Je, dhambi tulizotenda huko Peori hazitoshi? Hamwoni kwamba bado hatujajitakasa na kwamba mateso yake bado yanaisumbua jumuiya ya Mwenyezi-Mungu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Je, dhambi ya Peori haikutosha? Hata ingawa kulikuja tauni juu ya kusanyiko la Mwenyezi Mungu, hadi leo hatujatakasika kutokana na dhambi hiyo!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Je, dhambi ya Peori haikutosha? Hata ingawa kulikuja tauni juu ya kusanyiko la bwana, mpaka leo hii hatujatakasika kutokana na dhambi hiyo!

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Je! Ule uovu wa Peori haututoshi, ambao hamjajitakasa nafsi zenu katika huo hata hivi leo, ijapokuwa ilikuja tauni juu ya mkutano wa BWANA,

Tazama sura Nakili

Yoshua 22:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tuliofikiwa na miisho ya nyakati.

Wala msifanye uasherati, kama wengine wao walivyofanya, wakaanguka siku moja watu elfu ishirini na tatu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo