Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 21:23 - Swahili Revised Union Version

23 Tena katika kabila la Dani Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, na Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Katika eneo la kabila la Dani walipewa Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Katika eneo la kabila la Dani walipewa Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Katika eneo la kabila la Dani walipewa Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Pia kutoka kabila la Dani, wakapokea: Elteke, Gibethoni,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Pia kutoka kabila la Dani wakapokea Elteke, Gibethoni,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Tena katika kabila la Dani Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, na Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho;

Tazama sura Nakili

Yoshua 21:23
4 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Baasha wa Ahiya, wa ukoo wa Isakari, akamfanyia fitina; Baasha akampiga huko Gibethoni ulio wa Wafilisti; kwani Nadabu na Israeli wote walikuwa wakiuhusuru Gibethoni.

na Kibisaumu pamoja na mbuga zake za malisho, na Beth-horoni pamoja na mbuza zake za malisho, miji minne.

na Aiyaloni pamoja na mbuga zake za malisho, na Gath-rimoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo