Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yoshua 21:22 - Swahili Revised Union Version

22 na Kibisaumu pamoja na mbuga zake za malisho, na Beth-horoni pamoja na mbuza zake za malisho, miji minne.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Kibzaimu pamoja na mbuga zake za malisho na Beth-horoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Kibzaimu pamoja na mbuga zake za malisho na Beth-horoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Kibzaimu pamoja na mbuga zake za malisho na Beth-horoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Kibsaimu na Beth-Horoni, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji minne.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Kibsaimu na Beth-Horoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 na Kibisaumu pamoja na mbuga zake za malisho, na Beth-horoni pamoja na mbuga zake za malisho, miji minne.

Tazama sura Nakili




Yoshua 21:22
8 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Sulemani akaujenga Gezeri, na Beth-horoni wa chini,


na Yokmeamu pamoja na viunga vyake, na Beth-horoni pamoja na viunga vyake;


BWANA naye akawatapanya mbele ya Israeli, naye Israeli akawaua uuaji ulio mkuu hapo Gibeoni, akawafukuza waikimbilie hiyo njia ya kukwelea kwenda Beth-horoni, na kuwapiga hadi kufikia Azeka, tena hadi kufikia Makeda.


kisha ikateremkia upande wa magharibi hadi kuufikia mpaka wa Wayafleti, hadi mpaka wa Beth-horoni ya chini, hadi kufikia Gezeri; na matokeo yake yalikuwa hapo baharini.


Na mpaka wa wana wa Efraimu kwa kufuata jamaa zao ulikuwa hivi; mpaka na urithi wao upande wa mashariki ulikuwa ni Ataroth-adari, hata Beth-horoni wa juu;


Nao wakawapa Shekemu pamoja na mbuga zake za malisho, katika nchi ya vilima ya Efraimu, huo mji wa makimbilio kwa ajili ya mwuaji; na Gezeri pamoja na mbuga zake za malisho;


Tena katika kabila la Dani Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, na Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo