Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 21:24 - Swahili Revised Union Version

24 na Aiyaloni pamoja na mbuga zake za malisho, na Gath-rimoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Aiyaloni pamoja na mbuga zake za malisho na Gath-rimoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Aiyaloni pamoja na mbuga zake za malisho na Gath-rimoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Aiyaloni pamoja na mbuga zake za malisho na Gath-rimoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Aiyaloni na Gath-Rimoni pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji minne.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Aiyaloni na Gath-Rimoni pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

24 na Aiyaloni pamoja na mbuga zake za malisho, na Gath-rimoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.

Tazama sura Nakili

Yoshua 21:24
6 Marejeleo ya Msalaba  

na Aiyaloni pamoja na viunga vyake, na Gath-rimoni pamoja na viunga vyake;

Ndipo Yoshua akanena na BWANA katika siku hiyo ambayo BWANA aliwatoa Waamori mbele ya wana wa Israeli; akasema mbele ya macho ya Israeli, Wewe Jua, simama kimya juu ya Gibeoni; Na wewe Mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.

Shaalabini, Aiyaloni, Ithla;

Yehudi, Bene-beraki, Gath-rimoni;

Tena katika kabila la Dani Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, na Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho;

Tena katika hiyo nusu ya kabila la Manase, Taanaki pamoja na mbuga zake za malisho, na Gath-rimoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji miwili.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo