Yoshua 21:19 - Swahili Revised Union Version19 Miji yote ya wana wa Haruni, makuhani, ilikuwa ni miji kumi na mitatu, pamoja na mbuga zake za malisho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Miji yote ya wazawa wa Aroni ambao walikuwa makuhani, ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Miji yote ya wazawa wa Aroni ambao walikuwa makuhani, ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Miji yote ya wazawa wa Aroni ambao walikuwa makuhani, ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Miji yote waliyopewa makuhani, wazao wa Haruni, ilikuwa kumi na tatu, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Miji yote waliyopewa makuhani, wazao wa Haruni, ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Miji yote ya wana wa Haruni, makuhani, ilikuwa ni miji kumi na mitatu, pamoja na mbuga zake za malisho. Tazama sura |