Yoshua 18:20 - Swahili Revised Union Version20 Na mto wa Yordani ulikuwa ndio mpaka wake upande wa mashariki. Huo ndio urithi wa wana wa Benyamini, kwa kufuata mipaka yake kwa kuuzunguka kotekote, kulingana na jamaa zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mto Yordani ndio uliokuwa mpaka wake upande wa mashariki. Ndivyo zilivyowekewa mipaka nchi zilizopewa koo za kabila la Benyamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mto Yordani ndio uliokuwa mpaka wake upande wa mashariki. Ndivyo zilivyowekewa mipaka nchi zilizopewa koo za kabila la Benyamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mto Yordani ndio uliokuwa mpaka wake upande wa mashariki. Ndivyo zilivyowekewa mipaka nchi zilizopewa koo za kabila la Benyamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Nayo Yordani ikawa ndio mpaka wa upande wa mashariki. Hii ndiyo ilikuwa mipaka iliyoonesha urithi wa koo za Benyamini pande zote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Nayo Yordani ikawa ndio mpaka wa upande wa mashariki. Hii ilikuwa ndiyo mipaka iliyoonyesha urithi wa koo za Benyamini pande zote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Na mto wa Yordani ulikuwa ndio mpaka wake upande wa mashariki. Huo ndio urithi wa wana wa Benyamini, kwa kufuata mipaka yake kwa kuuzunguka kotekote, kulingana na jamaa zao. Tazama sura |