Yoshua 16:6 - Swahili Revised Union Version6 kisha mpaka ukatokea kwendelea upande wa magharibi huko Mikmeta upande wa kaskazini; kisha mpaka ukazunguka kwendea upande wa mashariki hata Taanath-shilo, kisha ukaendelea upande wa mashariki wa Yanoa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 na kuishia bahari ya Mediteranea. Kwa upande wa kaskazini mpaka ulipita Mikmethathi na kwa mashariki yake ulizunguka na kuelekea Taanath-shilo ambako ulipita upande wa mashariki hadi Yanoa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 na kuishia bahari ya Mediteranea. Kwa upande wa kaskazini mpaka ulipita Mikmethathi na kwa mashariki yake ulizunguka na kuelekea Taanath-shilo ambako ulipita upande wa mashariki hadi Yanoa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 na kuishia bahari ya Mediteranea. Kwa upande wa kaskazini mpaka ulipita Mikmethathi na kwa mashariki yake ulizunguka na kuelekea Taanath-shilo ambako ulipita upande wa mashariki hadi Yanoa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 na kuendelea mpaka baharini. Kutoka Mikmeta upande wa kaskazini ulipinda kuelekea mashariki hadi Taanath-Shilo, ukiupita hadi Yanoa upande wa mashariki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 na kuendelea mpaka baharini. Kutoka Mikmeta upande wa kaskazini ulipinda kuelekea mashariki hadi Taanath-Shilo, ukiupita hadi Yanoa upande wa mashariki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 kisha mpaka ukatokea kuendelea upande wa magharibi huko Mikmeta upande wa kaskazini; kisha mpaka ukazunguka kwenda upande wa mashariki hata Taanath-shilo, kisha ukaendelea upande wa mashariki wa Yanoa; Tazama sura |