Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 15:36 - Swahili Revised Union Version

36 Shaarimu, Adithaimu, Gedera na Gederothaimu miji kumi na minne, pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Shaaraimu, Adithaimu, Gedera na Gederothaimu. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na minne pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Shaaraimu, Adithaimu, Gedera na Gederothaimu. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na minne pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Shaaraimu, Adithaimu, Gedera na Gederothaimu. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na minne pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Shaaraimu, Adithaimu na Gedera (au Gederothaimu); yote ni miji kumi na nne, pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Shaaraimu, Adithaimu na Gedera (au Gederothaimu); yote ni miji kumi na minne, pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

36 Shaarimu, Adithaimu, Gedera na Gederothaimu miji kumi na minne, pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Yoshua 15:36
5 Marejeleo ya Msalaba  

na Ishmaya Mgibeoni, shujaa wa wale thelathini, naye alikuwa juu ya wale thelathini; na Yeremia, na Yahazieli, na Yohana, na Yozabadi Mgederathi;

na juu ya mizeituni na mikuyu iliyokuwamo katika Shefela alikuwa Baal-hanani, Mgederi; na juu ya ghala za mafuta alikuwa Yoashi;

Yarmuthi, Adulamu, Soko, Azeka;

Senani, Hadasha, Migdal-gadi;

Nao watu wa Israeli na wa Yuda wakainuka, na kupiga kelele, nao wakawafuata Wafilisti mpaka Gathi, na mpaka malango ya Ekroni. Nao majeruhi wa Wafilisti wakaanguka kando ya njia iendayo Shaarimu, mpaka Gathi, na mpaka Ekroni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo