Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 10:17 - Swahili Revised Union Version

17 Kisha Yoshua aliambiwa habari hiyo, ya kwamba, Hao wafalme watano wameonekana, nao wamejificha ndani ya pango ya Makeda

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Yoshua akapata habari kwamba wafalme hao wamegunduliwa walikojificha katika pango la Makeda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Yoshua akapata habari kwamba wafalme hao wamegunduliwa walikojificha katika pango la Makeda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Yoshua akapata habari kwamba wafalme hao wamegunduliwa walikojificha katika pango la Makeda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Yoshua alipoambiwa kuwa wafalme hao watano wamekutwa wakiwa wamejificha ndani ya pango huko Makeda,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Yoshua alipoambiwa kuwa wafalme hao watano wamekutwa wakiwa wamejificha ndani ya pango huko Makeda,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Kisha Yoshua aliambiwa habari hiyo, ya kwamba, Hao wafalme watano wameonekana, nao wamejificha ndani ya pango la Makeda

Tazama sura Nakili

Yoshua 10:17
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawa wafalme watano wakakimbia, wakajificha ndani ya pango la Makeda.

Basi Yoshua akasema, Haya, vingirisheni mawe makubwa mdomoni mwa lile pango, kisha wekeni watu hapo ili kuwalinda;

Kisha wakamshika mfalme wa Ai akiwa hai, nao wakamleta kwa Yoshua.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo