Yoshua 10:18 - Swahili Revised Union Version18 Basi Yoshua akasema, Haya, vingirisheni mawe makubwa mdomoni mwa lile pango, kisha wekeni watu hapo ili kuwalinda; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Yoshua akasema, “Vingirisheni mawe makubwa mlangoni mwa pango na kuweka walinzi hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Yoshua akasema, “Vingirisheni mawe makubwa mlangoni mwa pango na kuweka walinzi hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Yoshua akasema, “Vingirisheni mawe makubwa mlangoni mwa pango na kuweka walinzi hapo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 akasema, “Vingirisheni mawe makubwa kwenye mlango wa pango, tena mweke walinzi wa kulilinda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 akasema, “Vingirisheni mawe makubwa kwenye mdomo wa hilo pango, tena wekeni walinzi wa kulilinda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Basi Yoshua akasema, Haya, vingirisheni mawe makubwa mdomoni mwa lile pango, kisha wekeni watu hapo ili kuwalinda; Tazama sura |