Yohana 9:37 - Swahili Revised Union Version37 Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Isa akamjibu, “Umekwisha kumwona; naye anayezungumza nawe, ndiye.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Isa akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye. Tazama sura |