Yohana 6:68 - Swahili Revised Union Version68 Basi Simoni Petro akamjibu, Bwana! Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema68 Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tutakwenda kwa nani? Wewe unayo maneno ya uhai wa milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND68 Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tutakwenda kwa nani? Wewe unayo maneno ya uhai wa milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza68 Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tutakwenda kwa nani? Wewe unayo maneno ya uhai wa milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu68 Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu68 Simoni Petro akamjibu, “Bwana Isa, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI68 Basi Simoni Petro akamjibu, Bwana! Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. Tazama sura |