Yohana 6:67 - Swahili Revised Union Version67 Basi Yesu akawaambia wale Kumi na Wawili, Je! Ninyi nanyi mnataka kuondoka? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema67 Basi, Yesu akawauliza wale kumi na wawili, “Je, nanyi pia mwataka kwenda zenu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND67 Basi, Yesu akawauliza wale kumi na wawili, “Je, nanyi pia mwataka kwenda zenu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza67 Basi, Yesu akawauliza wale kumi na wawili, “Je, nanyi pia mwataka kwenda zenu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu67 Hivyo Isa akawauliza wale wanafunzi wake kumi na wawili, “Je, ninyi pia mnataka kuondoka?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu67 Hivyo Isa akawauliza wale wanafunzi wake kumi na wawili, “Je, ninyi pia mnataka kuondoka?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI67 Basi Yesu akawaambia wale Kumi na Wawili, Je! Ninyi nanyi mnataka kuondoka? Tazama sura |