Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yohana 6:17 - Swahili Revised Union Version

17 wakapanda katika mashua, wakaanza kuivuka bahari kwenda Kapernaumu. Nako kumekwisha kuwa giza, wala Yesu hajawafikia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 wakapanda mashua ili wavuke kwenda Kafarnaumu. Giza lilikuwa limeingia, na Yesu alikuwa hajawafikia bado.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 wakapanda mashua ili wavuke kwenda Kafarnaumu. Giza lilikuwa limeingia, na Yesu alikuwa hajawafikia bado.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 wakapanda mashua ili wavuke kwenda Kafarnaumu. Giza lilikuwa limeingia, na Yesu alikuwa hajawafikia bado.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Wakaingia kwenye mashua, wakaanza kuvuka bahari kwenda Kapernaumu. Wakati huu kulikuwa tayari giza na Isa alikuwa hajajumuika nao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Wakaingia kwenye mashua, wakaanza kuvuka bahari kwenda Kapernaumu. Wakati huu kulikuwa tayari giza na Isa alikuwa hajajumuika nao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 wakapanda katika mashua, wakaanza kuivuka bahari kwenda Kapernaumu. Nako kumekwisha kuwa giza, wala Yesu hajawafikia.

Tazama sura Nakili

Yohana 6:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Mara akawalazimisha wanafunzi wake wapande mashuani, watangulie kwenda ng'ambo hata Bethsaida, wakati yeye alipokuwa akiwaaga mkutano.

Baada ya hayo akashuka mpaka Kapernaumu, yeye na mama yake na ndugu zake na wanafunzi wake; wakakaa huko siku si nyingi.

Basi alifika tena Kana ya Galilaya, hapo alipoyafanya yale maji kuwa divai. Na palikuwa na ofisa mmoja ambaye mwanawe alikuwa mgonjwa huko Kapernaumu.

Na bahari ikaanza kuchafuka kwa kuvuma upepo mkuu.

Maneno hayo aliyasema katika sinagogi, alipokuwa akifundisha, huko Kapernaumu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo