Yohana 6:16 - Swahili Revised Union Version16 Hata ilipokuwa jioni wanafunzi wake wakateremka baharini Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Ilipofika jioni, wanafunzi wake waliteremka kwenda baharini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Ilipofika jioni, wanafunzi wake waliteremka kwenda baharini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Hata ilipokuwa jioni wanafunzi wake wakateremka baharini Tazama sura |