Yohana 11:45 - Swahili Revised Union Version45 Basi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu, na kuyaona yale aliyoyafanya, wakamwamini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 Basi, Wayahudi wengi waliokuwa wamefika kwa Maria walipoona kitendo hicho alichokifanya Yesu, wakamwamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Basi, Wayahudi wengi waliokuwa wamefika kwa Maria walipoona kitendo hicho alichokifanya Yesu, wakamwamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Basi, Wayahudi wengi waliokuwa wamefika kwa Maria walipoona kitendo hicho alichokifanya Yesu, wakamwamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 Hivyo Wayahudi wengi waliokuwa wamekuja kumfariji Mariamu walipoona yale Isa aliyoyatenda, wakamwamini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 Hivyo Wayahudi wengi waliokuwa wamekuja kumfariji Maria, walipoona yale Isa aliyoyatenda wakamwamini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI45 Basi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu, na kuyaona yale aliyoyafanya, wakamwamini. Tazama sura |