Yobu 5:9 - Swahili Revised Union Version9 Yeye afanyaye mambo makuu, yasiyotambulikana; Mambo ya ajabu yasiyo na hesabu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 yeye atendaye makuu yasiyochunguzika, atendaye maajabu yasiyohesabika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 yeye atendaye makuu yasiyochunguzika, atendaye maajabu yasiyohesabika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 yeye atendaye makuu yasiyochunguzika, atendaye maajabu yasiyohesabika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, miujiza isiyoweza kuhesabika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, miujiza isiyoweza kuhesabika. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Yeye afanyaye mambo makuu, yasiyotambulikana; Mambo ya ajabu yasiyo na hesabu; Tazama sura |