Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 5:8 - Swahili Revised Union Version

8 Lakini mimi ningemtafuta Mungu, Ningemwekea Mungu kesi yangu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 “Kama ningekuwa wewe ningemgeukia Mungu, ningemwekea yeye Mungu kisa changu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 “Kama ningekuwa wewe ningemgeukia Mungu, ningemwekea yeye Mungu kisa changu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 “Kama ningekuwa wewe ningemgeukia Mungu, ningemwekea yeye Mungu kisa changu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 “Lakini ingekuwa ni mimi, ningemlalamikia Mungu, ningeweka shauri langu mbele zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 “Lakini ingekuwa ni mimi, ningemlalamikia Mungu, ningeliweka shauri langu mbele zake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Lakini mimi ningemtafuta Mungu, Ningemwekea Mungu kesi yangu;

Tazama sura Nakili




Yobu 5:8
16 Marejeleo ya Msalaba  

Wewe ukiuweka moyo wako kwa uelekevu, Na kumnyoshea mikono yako;


Hayo myajuayo ninyi, na mimi pia nayajua; Mimi si duni kuliko ninyi.


Hakika ningenena naye huyo Mwenyezi, Nami nataka kuhojiana na Mungu.


Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.


Utamwomba yeye naye atakusikia; Nawe utazitimiliza nadhiri zako.


Wewe ukimtafuta Mungu kwa bidii, Na kumsihi huyo Mwenyezi;


Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumainie, naye atakutendea.


Uniite siku ya mateso; Nitakuokoa, nawe utanitukuza.


Lakini, Ee BWANA wa majeshi, uhukumuye haki, ujaribuye fikira na moyo, nijalie kuona kisasi chako juu yao; kwa maana nimekufunulia wewe neno langu.


Kwa sababu hiyo nimepatikana na mateso haya, lakini sitahayari; kwa maana namjua yeye niliyemwamini, na kusadiki ya kwamba aweza kukilinda kile nilichokiweka amana kwake hata siku ile.


Yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutisha; bali alijikabidhi kwake yeye ahukumuye kwa haki.


Basi wao wateswao kwa mapenzi ya Mungu na wamwekee amana roho zao, katika kutenda mema, kama kwa Muumba mwaminifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo