Yobu 39:2 - Swahili Revised Union Version2 Je! Waweza kuhesabu miezi yao watakayoitimiza? Au waweza kusema majira ya kuzaa kwa kulungu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Je, wajua huchukua mimba kwa muda gani, au siku yenyewe ya kuzaa waijua? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Je, wajua huchukua mimba kwa muda gani, au siku yenyewe ya kuzaa waijua? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Je, wajua huchukua mimba kwa muda gani, au siku yenyewe ya kuzaa waijua? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Je, unaweza kuhesabu miezi hadi wanapozaa? Je, unajua majira yao ya kuzaa? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Je, waweza kuhesabu miezi hadi wazaapo? Je, unajua majira yao ya kuzaa? Tazama sura |