Yobu 39:3 - Swahili Revised Union Version3 Wao hujiinamisha, kuzaa watoto wao, Watupa taabu zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 “Wajua wakati watakapochuchumaa kuzaa, wakati wa kuzaa watoto wao? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 “Wajua wakati watakapochuchumaa kuzaa, wakati wa kuzaa watoto wao? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 “Wajua wakati watakapochuchumaa kuzaa, wakati wa kuzaa watoto wao? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; uchungu wa kuzaa unakoma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; utungu wa kuzaa unakoma. Tazama sura |