Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 39:1 - Swahili Revised Union Version

1 Je! Wajua majira ya kuzaa kwao mbuzi-mwitu walio majabalini? Au waweza kusema majira ya kuzaa kwa kulungu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 “Je, wajua mbuzi wa milimani huzaa lini, au umewahi kuona kulungu akizaa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 “Je, wajua mbuzi wa milimani huzaa lini, au umewahi kuona kulungu akizaa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 “Je, wajua mbuzi wa milimani huzaa lini, au umewahi kuona kulungu akizaa?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 “Je, unajua wakati mbuzi wa mlimani wanapozaa? Je, unatambua wakati kulungu jike anapozaa mtoto wake?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 “Je, wajua ni wakati gani mbuzi wa mlimani wanapozaa? Je, watambua ni wakati gani kulungu jike azaapo mtoto wake?

Tazama sura Nakili




Yobu 39:1
6 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Waweza kuhesabu miezi yao watakayoitimiza? Au waweza kusema majira ya kuzaa kwa kulungu?


Milima mirefu ndiko waliko mbuzi wa mwitu, Na magenge ni kimbilio lao wibari.


Sauti ya BWANA yawazalisha ayala, Na kuiacha misitu wazi; Na ndani ya hekalu lake Wanasema, Utukufu!


Naam, kulungu naye uwandani amezaa, Akamwacha mwanawe kwa kuwa hakuna majani.


kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima;


Ndipo Sauli akatwaa watu elfu waliochaguliwa katika Israeli wote, akaenda kumtafuta Daudi na watu wake juu ya majabali ya mbuzi-mwitu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo