Yobu 3:4 - Swahili Revised Union Version4 Siku hiyo na iwe giza; Mungu asiiangalie toka juu, Wala mwanga usiiangazie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Siku hiyo na iwe giza! Mungu juu asijishughulishe nayo! Wala nuru yoyote isiiangaze! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Siku hiyo na iwe giza! Mungu juu asijishughulishe nayo! Wala nuru yoyote isiiangaze! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Siku hiyo na iwe giza! Mungu juu asijishughulishe nayo! Wala nuru yoyote isiiangaze! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Siku ile na iwe giza; Mungu juu na asiiangalie; nayo nuru isiiangazie. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Siku ile na iwe giza; Mungu juu na asiiangalie; nayo nuru isiiangazie. Tazama sura |