Yobu 3:3 - Swahili Revised Union Version3 Na ipotelee mbali ile siku niliyozaliwa mimi, Na ule usiku uliosema, Mtoto wa kiume ametungishwa mimba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 “Ilaaniwe siku ile niliyozaliwa; usiku ule iliposemwa, ‘Mwana amechukuliwa mimba’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 “Ilaaniwe siku ile niliyozaliwa; usiku ule iliposemwa, ‘Mwana amechukuliwa mimba’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 “Ilaaniwe siku ile niliyozaliwa; usiku ule iliposemwa, ‘Mwana amechukuliwa mimba’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 “Siku ya kuzaliwa kwangu na ipotelee mbali, na usiku ule iliposemekana, ‘Mtoto wa kiume amezaliwa!’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 “Siku ya kuzaliwa kwangu na ipotelee mbali, nao usiku ule iliposemekana, ‘Mtoto wa kiume amezaliwa!’ Tazama sura |