Yobu 3:10 - Swahili Revised Union Version10 Kwa sababu haukuifunga milango ya tumbo la mamangu. Wala kunifichia taabu machoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Maana usiku huo haukulifunga tumbo la mama, wala kuficha taabu nisizione. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Maana usiku huo haukulifunga tumbo la mama, wala kuficha taabu nisizione. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Maana usiku huo haukulifunga tumbo la mama, wala kuficha taabu nisizione. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 kwa sababu huo usiku haukunifungia mlango wa tumbo la mama yangu, ili kuyaficha macho yangu kutokana na taabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 kwa sababu huo usiku haukunifungia mlango wa tumbo la mama yangu, ili kuyaficha macho yangu kutokana na taabu. Tazama sura |