Yobu 21:3 - Swahili Revised Union Version3 Niacheni, nami pia nitanena; Tena nikiisha nena, zidini kudhihaki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nivumilieni, nami nitasema, na nikisha sema endeleeni kunidhihaki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nivumilieni, nami nitasema, na nikisha sema endeleeni kunidhihaki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nivumilieni, nami nitasema, na nikisha sema endeleeni kunidhihaki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Nivumilieni ninapozungumza, nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Nivumilieni ninapozungumza, nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. Tazama sura |