Yobu 21:4 - Swahili Revised Union Version4 Mimi, je! Mashitaka yangu yamhusu mwanadamu? Nami kwa nini nisikose kusubiri? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Je, mimi namlalamikia binadamu? Ya nini basi, nikose uvumilivu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Je, mimi namlalamikia binadamu? Ya nini basi, nikose uvumilivu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Je, mimi namlalamikia binadamu? Ya nini basi, nikose uvumilivu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira? Tazama sura |