Yobu 10:11 - Swahili Revised Union Version11 Umenivika ngozi na nyama, Na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Uliuumba mwili wangu kwa mifupa na mishipa, ukaifunika mifupa yangu kwa nyama na ngozi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Uliuumba mwili wangu kwa mifupa na mishipa, ukaifunika mifupa yangu kwa nyama na ngozi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Uliuumba mwili wangu kwa mifupa na mishipa, ukaifunika mifupa yangu kwa nyama na ngozi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 ukanivika ngozi na nyama, na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 ukanivika ngozi na nyama, na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Umenivika ngozi na nyama, Na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa. Tazama sura |