Yobu 10:10 - Swahili Revised Union Version10 Je! Wewe hukunimimina kama maziwa, Na kunigandisha mfano wa jibini? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Je, si wewe uliyenimimina kama maziwa, na kunigandisha kama jibini? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Je, si wewe uliyenimimina kama maziwa, na kunigandisha kama jibini? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Je, si wewe uliyenimimina kama maziwa, na kunigandisha kama jibini? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Je, wewe hukunimimina mimi kama maziwa, na kunigandisha kama jibini, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Je, wewe hukunimimina mimi kama maziwa, na kunigandisha kama jibini, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Je! Wewe hukunimimina kama maziwa, Na kunigandisha mfano wa jibini? Tazama sura |