Yeremia 48:8 - Swahili Revised Union Version8 Naye mwenye kuteka nyara atakuja juu ya kila mji, wala hakuna mji utakaookoka; bonde nalo litaangamia, nayo nchi tambarare itaharibiwa; kama BWANA alivyosema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mwangamizi atapita katika kila mji, hakuna mji utakaomwepa; kila kitu mabondeni kitaangamia nyanda za juu zitaharibiwa, kama alivyosema Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mwangamizi atapita katika kila mji, hakuna mji utakaomwepa; kila kitu mabondeni kitaangamia nyanda za juu zitaharibiwa, kama alivyosema Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mwangamizi atapita katika kila mji, hakuna mji utakaomwepa; kila kitu mabondeni kitaangamia nyanda za juu zitaharibiwa, kama alivyosema Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mwangamizi atakuja dhidi ya kila mji, wala hakuna mji utakaookoka. Bonde litaangamizwa na uwanda utaharibiwa, kwa sababu Mwenyezi Mungu amesema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Mharabu atakuja dhidi ya kila mji, wala hakuna mji utakaookoka. Bonde litaangamizwa na uwanda utaharibiwa, kwa sababu bwana amesema. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Naye mwenye kuteka nyara atakuja juu ya kila mji, wala hakuna mji utakaookoka; bonde nalo litaangamia, nayo nchi tambarare itaharibiwa; kama BWANA alivyosema. Tazama sura |
angalieni, nitatuma watu na kuzitwaa jamaa zote za upande wa kaskazini, asema BWANA, nami nitatuma ujumbe kwa Nebukadneza, mfalme wa Babeli, mtumishi wangu, nami nitawaleta juu ya nchi hii, na juu yao wakaao ndani yake, na juu ya mataifa haya yote yaliyoko pande zote; nami nitawaangamiza kabisa, na kuwafanya kitu cha kushangaza, na kitu cha kuzomewa, na ukiwa wa daima.